World Swahili Language Day
Key information
- Date
- Time
-
2:00 pm to 3:30 pm
- Venue
- Online via Zoom
About this event
To mark World Kiswahili Language day 2025, we are bringing together an international panel of poets, writers and researchers to celebrate Swahili and all its varieties.
The theme this year will be ‘Swahili: past, present and future’ and the event will include poetry readings, extracts from new literary translations and flash talks on various aspects of Swahili language. Everyone is invited to join us for this exciting event which will take place online via Zoom. This celebration is organised by SOAS Centre for African Studies and the Swahili Dialects Project (University of Essex, University of Dar es Salaam, Kenyatta University and SOAS University of London).
Ili kuadhimisha siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025 tunawaletea jopo la kimataifa la washairi, waandishi na watafiti kuadhimisha Kiswahili. Kaulimbiu ya mwaka huu itakuwa ‘Kiswahili: wakati uliopita, uliopo na ujao’ na tukio litajumuisha usomaji wa mashairi, dondoo kutoka katika tafsiri mpya za fasihi na mazungumzo juu ya vipengele mbalimbali vya lugha ya Kiswahili.
Nyote mmealikwa kujiunga nasi katika tukio hili la kusisimua litakalofanyika mtandaoni kupitia Zoom. Maadhimisho haya yameandaliwa na Kituo cha SOAS cha Masomo ya Kiafrika na Mradi wa Lahaja za Kiswahili (Chuo Kikuu cha Essex, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Kenyatta na Chuo Kikuu cha SOAS cha London).
Image credit: Ali Mkumbwa via Unsplash
Agenda
| Muda /Time (Uingereza/UK) | Mada/Title | Wahusika/Speakers |
|---|---|---|
| 2pm - 2:10pm | Kukaribishwa Welcome and introduction | Ida Hadjivayanis and Teresa Poeta
|
| 2:10pm | Kusomwa shairi kwa Kiunguja/Kipemba Poetry reading in Kiunguja/Kipemba | Mohammed Ghassani
|
Kusomwa shairi kwa Kiswahili sanifu Poetry reading in Kiswahili | Esther Karin Mngodo
| |
Kusomwa tafisri kutoka Kiswahili Reading from English Translation of Rosa mistika | Jay Boss Rubin
| |
Kusomwa tafsiri kuenda Kiswahili Reading from translation of Dhulma | Ida Hadjivayanis
| |
Kusomwa fasihi ya Kiswahili ya Siri Reading from Siri | Farouk Topan | |
| 2.35pm - 2.45pm | Maswali na Majibu Q&A | Hadhira na jopo Audience and panel |
| 2:45pm - 2:50pm | Kupumzika / Break | |
| 2:50pm | Mwamko wa lahaja za kiswahili Emerging dialect areas of Swahili | Hannah Gibson, Daudi Gamba, Annah Kariuki, Merceline Ochieng, Fridah Kanana Erastus, Tom Jelpke, Lutz Marten, Felic Ngowo, Teresa Poeta and Julius Taji |
| Kubadilika kwa Mtazamo wa Kiswahili cha Kongo / Changing Perspective on Congolese Swahili | Maud Devos | |
Tofauti za kijiografia na kijamii katika Kiswahili cha Magharibi Regiolectal and sociolectal variation in Western Swahili | Nico Nassenstein and Antonia Fendt | |
Kiswahili kiwe daraja, si kubana tofauti za Tanzania Swahili to bridge, not flatten diversity in Tanzania | Gastor Mapunda | |
Usanii kupitia Kisheng Sheng spoken word | David Otieno | |
| 3.30pm - 3.40pm | Maswali na Majibu Q&A | Hadhira na jopo Audience and panel |
| 3:40pm - 3.45pm | Mazungumzo baada ya hafla Final discussion and remarks | Ida Hadjivayanis and Hannah Gibson |