Mkuki na Nyota 40th Anniversary

Key information

Date
Time
3:30 pm to 6:30 pm
Venue
Virtual Event

About this event

Various Speakers

3:30pm - 6:30pm GMT (UK Time) / 6:30pm - 9:30pm (Tanzania Time)

The conference proceedings will be in Swahili. / Warsha hii itaendeshwa kwa Kiswahili.

About the Event

SOAS Centre for African Studies is pleased to host the commemmoration of Forty Years of Mkuki na Nyota Publishing (Mkuki na Nyota Publishers.) This event will be conducted in Swahili. All are welcome.

Tuna furaha kukualikeni kwenye warsha iliyoandaliwa kwa aioli ya kusherehekea miaka 40 ya Mkuki na Nyota.

Mkuki na Nyota ilianzishwa miaka 40 iliyopita ili kuchapisha vitabu vya kimapinduzi vinavyoburudisha na kutoa maarifa na vinavyofikika na kuhitajiwa na watu wetu. Katika miaka yote hii nia yao imekuwa ni kuendeleza na kuhamasisha utamaduni wa kujisomea vitabu, lakini pia kuchangia kwenye kulea na kukuza fasihi yetu kama njia ya kutunza na kusambaza sanaa, utamaduni na maarifa yetu kwetu wenyewe na kwa wengine ulimwenguni. Lengo na jitihada yao kubwa siku zote ni kutoa “vitabu mwafaka, vitabu nadhifu na kwa bei nafuu”.

Loading the player...

Mkuki na Nyota 40th Anniversary

Washiriki

  • Abdilatif Abdalla -  Mwenyekiti
  • Walter Bgoya - Miaka 40 ya Kwanza
  • Mugyabuso Mulokozi – Changamoto ya uchapishaji wa vitabu muhimu lakini visivyo na mvuto wa soko: Bwana Myombekere na Bibi Bugonoka,   Utenzi wa Ras l’Ghuli & Kale ya washairi wa Pemba
  • Adam Shafi – Kuandika na kuchapisha riwaya ya Vuta n’Kuvute
  • Ida Hajivayanis – Umuhimu wa kutafsiri vitabu vya kigeni katika Kiswahili na changamoto za uchapishaji wake
  • Balozi Hoyce Temu – Changamoto za wanawake katika uandishi na uchapishaji
  • Chambi Chachage – Changamoto za uchapishaji pasipo na Sera ya Taifa ya Vitabu
  • Zainab Baharoon – Mwandishi chipukizi na uchapishaji
  • Esther Karin Mngondo – Maktaba Tanzania na uchapishaji
  • Mkuki Bgoya – Miaka 40 ijayo

Organiser: Centre of African Studies

Contact email: cas@soas.ac.uk